Cart

 

Orodha ya kozi za mkondoni na vyeti vya Sayansi ya Anga na tekinolojia

“EgSA” Portal ya Anga ya kiteknolojia inatoa kozi za mafunzo kwa vitendo kwa njia ya mkondoni na vyeti katika maeneo ya Sayansi ya Anga na teknolojia. Wamejikita Zaidi kwenye ukamilifu wa video zilizorekodiwa na mafundisho ya kuvutia. Mfumo huo uliwekwa na kusimamiwa na EgSA kutoa elimu ya kiutaalamu unaogusa maeneo yote ya Uhandisi wa Satelite, mifumo midogo midogo ya Satelite, Sehemu za Anga, Sehemu za Ardhi na vingine.

Kozi zote zinaanzia katika ngazi ya mwanzo na kwenda kwa hatua kufikia ngazi ya juu ya utaalamu. Kozi zote, mitihani na vyeti vinatolewa kwa njia ya mtandao(Mkondoni) kupitia hatua tatu za kielimu na vyeti:

  • Udhibitisho Maalumu wa Usimamizi wa Sayansi ya Anga na Teknolojia
  • Udhibitisho Maalumu wa Utaalamu wa mambo ya Teknolojia ya Anga
  • Uthibitisho Maalumu wa Utaalamu wa Udhibiti na uendeshaji wa maswala ya Anga

Kozi zote za Sayansi ya Anga na Teknolojia zinafanyika kwa kinadharia pamoja na vitendo. Wakufunzi wetu wenye Udhibitisho Maalumu  pamoja na wabuni wa kozi zetu wote wana sifa stahiki za juu, kwa kuwa wameshafanya kazi katika ngazi zote za utengenezwaji wa Satelite, na uzoefu wao umefanya mafunzo yao yawe ya huakika na ya kufurahisha.

Jiandikishe sasa na uwe na udhibitisho maalumu, au wasiliana nasi kwa maelezo Zaidi kwa: info.portal@egsa.gov.eg

Linki za muhimu: NyumbaniGharamaUfadhiliMabroshaWasiliana nasi

Orodha za Kozi (Kozi hizo zinapatikana kwa lugha ya Kiingereza tu)

Udhibitisho Maalumu wa Usimamizi wa Sayansi ya Anga na Teknolojia

1 Kozi ya kimtandao ya Utangulizi wa Uhandisi wa Anga na Utumaji wa Satelite Maelezo
2 Kozi ya Kimtandao ya Utangulizi wa Mazingira ya Anga na matokeo yake ya Mifumo ya Satelite Maelezo
3 Kozi ya Kimtandao ya Utangulizi wa Uhandisi wa Mifumo ya Kisatelite Maelezo
4 Kozi za kimtandao za Utangulizi wa Mzunguko wa Kimitambo Maelezo
5 Kozi za Kimtandao za Mifumo midogo ya Kisatelite Maelezo
6 Kozi za kimtandao za Mkusanyiko, Ujumuhishaji na upimaji wa Satelite Maelezo
7 Kozi za Kimtandao za Usimamizi na Upangaji mradi wa Kianga Maelezo

Udhibitisho Maalumu wa Utaalamu wa mambo ya Teknolojia ya Anga

8 Kozi za Kimtandao za Muundo na Vifaa vya Kimitambo vya Satelite Maelezo
9 Kozi za Kimtandao za Mifumo midogo ya Udhibiti wa Joto wa Satelite Maelezo
10 Kozi za Kimtandao za Mifumo midogo ya Nguvu ya Umeme ya Satelite Maelezo
11 Kozi za Kimtandao za Mifumo midogo za Malipo ya Satelite Maelezo
12 Kozi za Kimtandao za Mifumo Midogo za Uwamuzi wa Mtazamo na Udhibiti wa Satelite Maelezo
13 Kozi za Kimtandao za Mifumo Midogo za Mawasiliano, Ufuatiliaji wa Telemetri na Amri ya Satelite Maelezo
14 Kozi ya Kimtandao ya Mifumo Midogo ya Kwenye Kompyuta ya body ya Satelite Maelezo
15 Using Artificial intelligence in space imaging systems and its applications Online Course. Maelezo

Uthibitisho Maalumu wa Utaalamu wa Udhibiti na uendeshaji wa maswala ya Anga

16 Kozi ya Kimtandao ya Usimamizi wa Mapokezi ya chini Maelezo
17 Kozi ya Kimtandao ya Kituo cha kudhibiti Satelite ya Ndege Maelezo
18 Kozi za Kimtandao za Ubunifu wa Kituo cha Kudhibiti Ardhi Maelezo

To Top